Naomba kufahamu gharama za kufanya meno yawe meupe (Whitening of teeth)

Acheni kutumia hela vibaya, chukua pande la mkaa mzuri lisage sage upate lile vumbi lake chukua mswaki weka na vumbi la mkaa ulilosaga kapige kutwa Mara tatu fanya kwa week, then uje ulete mrejesho.
kuna jama aliniambia hivi humu humu jamii forum namtafuta hata nimpe shukrani hii njia ni nzuri hadi shemeji yenu kuna muda ana angalia meno yangu anashindwa kuniulizi jinsi yalivyo kama kanzu yanii nikimalizaga na mkaa napiga colgate
 
Nahisi utapoteza pesa zako bure. Niliwahi kusikia ukinywa maji ya Betri ya gari hapohapo meno yanakua meupe kama asubuhi. Hebu jaribu bwana Apologiz halafu utatujuza mafanikio yake.
 
Write your reply...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom