Natumai mu wazima kabisa na pole na matatizo kwa walo wote walofikwa na maswaibu mbalimbali. Lengu langu ni kuelimishwa na kujua juu ya bei (Dish, LNB, KU, Receiver) kwa pamoja na namna ya kufanya kufanya kupata wingi wa channels.
Wandugu nimefikia hapa baada ya kupata usumbufu mwingi kwenye hivi visimbuzi bila mafanikio na gharama za kila mwezi. Hivyo nimekuja hapa ili niweze kupata ufumbuzi madhubuti.
Naomba uzingatie:
-upatikanaji wa channels nyingi za bongo(Tanzania),
-idadi ya channels na namna ya kufanya ujanja kungezea,
-gharama za vifaa hata na ufundi,
-ushauri ziada wa kitaalamu,
-mengineyo...
Hapa ni jungu kuu, najua nitapata ufumbuzi maalumu kwa hitaji langu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Nawasilisha...