Naomba kufahamu bei ya Rav4 J mpya

Vipi bei ya harrier mkuu
 
Na harrier vipi mkuu. Maana bado nafanya comparison

Kumbe wataka used. Wenzako wametoa hizo bei za mpyaaa uliyoonesha kuitaka. Wamesema bei ni 75-85 milioni.
 
Hiyo wanayoongelea sio nayoitaka mkuu. Thred yangu inazungumzia rav 4. Pia haijalishi kama ni used au mpya, ilimradi iwe katika hali nzuri. Kama unaijua bei ya harrier mpya nambie mkuu
 
Harrier used toka Japan bei yake ipo sawa na au kuzidi kidogo bei ya RAV4. Tofauti ya bei haiwezi kuzidi milioni tatu na nusu max...
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…