Naomba kufahamishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kufahamishwa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mhalisi, May 19, 2012.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  naomba kujua maneno haya kwa kiengereza yanaitwaje:

  1: Mvi za kwenye nywele

  2: Kitambi

  3: Kinyesi

  4: Ugali

  5: Sambusa
   
 2. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nina ushauri natoa hapa. Ningependa nishauri kwamba ni vizuri kwa Mwanjamvi kuleta suala ambalo limemtatiza na hata pale alipojaribu kudurusu hapa na pale bado hajapata msaada. Kwa hiyo nimuombe Mhalisi aende akarejee Kamusi atafute tafsiri ya maneno aliyouliza. Akishindwa kupata msaada arudi hapa jamvini hima!
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  nimeshindwa kupata msaada mahala popote ndo maana nikaja jamvini.
   
 4. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kitambi - tazama kwenye kamusi neno 'belly'

  Kinyesi -
  tazama kwenye kamusi maneno 'dung' na 'feases'

  Ugali -
  tazama kwenye kamusi maneno 'stifle porridge' lakini pia huitwa 'ugali' (soma yugali)

  Sambusa - tazama kwenye kamusi neno 'samosa'

  Lakini nikutahadharishe kwamba majina yahusianayo na vyakula ni vigumu kupata tafsiri ya moja kwa moja hasa kama chakula hicho hakitumiwi kabisa na wanalugha hiyo inayotoa tafsiri. Mavazi na chakula ni sehemu ya utamaduni wa jamii hivyo kama hakuna muasala wa moja kwa moja baina ya jamii mbili si rahisi kukuta jaina la vazi au chakula fulani kwenye lugha hiyo.

  Hivyo ndivyo nilivyoweza kuchangia, na ninawasilisha!
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  nakushukuru sana ndugu kwa kunisaidia.
   
Loading...