MR. DRY JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 637 Reaction score 122 Feb 28, 2016 #1 Wana bodi Kwanini D$TV wanaweka watermark ya glass hasa mimi ninaeangalia mipira bar. Je na wale wanaotumia manyumbani iko hivyo. Napenda kufahamu.
Wana bodi Kwanini D$TV wanaweka watermark ya glass hasa mimi ninaeangalia mipira bar. Je na wale wanaotumia manyumbani iko hivyo. Napenda kufahamu.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Feb 28, 2016 #2 nyumbani haipo, niliwahi sikia kuwa vifurushi vya kuonyeshea mpira bar/kwenye mabanda ni tofauti na nyumbani.
nyumbani haipo, niliwahi sikia kuwa vifurushi vya kuonyeshea mpira bar/kwenye mabanda ni tofauti na nyumbani.