Kwa mjibu wa kamusi ya kiswahili sanifu ya tuki toleo la 13
Ukrasa wa 22 AZIMIALina maana mbili
1. Azima ni chukua au toa kitu kwa muda na Kisha kukirejesha ambapo mnyumbuliko wa neno hilo tunaweza Pata azimia, Azimika, azimiana, azimisha, azimiwa, azimwa
2.azimia Nikama talasimu au hirizi
Nadhani wewe ulikuwa unataka maana ya kwanza
Ukrasa wa 3 ADHIMU Ina maana mbili pia
1.adhimu yenye maana ya - enye sifa - liyotukuka
Kwa maana ya tukufu, aali, jalili
2.adhimu - ingi mfano fulani anamali adhimu (nyingi)
ZIADA
1.adhim.u kwa maana ya lengo /kusudio
Hapa tunaweza Pata mnyumbuliko wa maneno Kama adhimia, adhimiana, nk.
MFANO Juma aliadhimia Kubana matumizi
Adhimio letu ni kumfukuza mkurugenzi
Sentensi ya pili ni sahihi, Adhimia ni kama kufikia maamuzi juu ya jambo. Lakini azimia ni kuazima kitu kwa niaba ya mtu au kitu, mfano; nimemuazimia mwanangu baiskeli kwa jirani ili aende shamba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.