Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,192
- 1,076
Habari za saa hizi wakuu, naomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu, kinafundisha masomo kuanzia ngazi ya cheti,diploma,degree hadi Masters katika fani za IT,Hardware and Networking pamoja na information security, chuo hiki kiko barabara ya Ally Khan Upanga, ninachotaka kufahamishwa ni kuhusu gharama zake katika ngazi ya degree zikoje, anayefahamu anakaribishwa kutufahamisha kwa faida yangu na wengine ambao wana shauku ya kukifahamu, ahsante!