Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,003
- 114,234
Yeah jumba la kijeiefu msingi million 80😂😂Hahahahaha
We unataka jumba la kifahari
Yeah jumba la kijeiefu msingi million 80😂😂Hahahahaha
We unataka jumba la kifahari
hahahahahaYeah jumba la kijeiefu msingi million 80😂😂
Nilivopewa makadirio nikapumzika nayo kwanza
HahahahaYeah jumba la kijeiefu msingi million 80
Jitahidi uwe tajiri Witty unatuaibisha wanajf wenzioHahahaha
Humu kila mtu tajiri kasoro mimi
Kabisa mkuu, mwenyewe naifeel sana nyumba yangu, japo bado nachechemea mdogo mdogo. Kiukweli nyumba iliyoenda juu inavutia ndani na njeNyumba iliyoenda Juu ni nzuri na ina faida mingi sana, Napenda nyumba za namna hiyo.
Kuweka Taa tu lazima itafutwe ngazi, sio nyumba ukipanda juu ya stuli tu ushafikia Holder..
Mkuu unajenga nyumba nzuri sana sijaiona ila nai feel....
Sawa sawa kabisa mkuuJitahidi uwe tajiri Witty unatuaibisha wanajf wenzio
😂😂😂Sawa sawa kabisa mkuu