Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

Nyumba vyumba vitatu

watoto watatu
msichana wa kazi mmoja
baba mkwe mmoja kaja matibabu

hebu nipangie, mnalalaje ????
 
Atalala hospitali ama nyumba za wageni

Kwanza sidhani kama rules and regulations za nyumba za wageni zinawaruhusu ku host wagonjwa.

Okay sawa, Baba Mkwe anaumwa kaja mjini umemsweka guest house, sawa.

Vivulana vitatu, baba na mama, msichana wa kazi, vyumba vitatu, mnalalaje?
 
Na hao watoto watatu akija binamu yao kafunga shule darasa la sita kaja kuwatembelea wenzake wiki mbili, mtoto wa kike, na yeye unamtia guesti ?
 
Na hao watoto watatu akija binamu yao kafunga shule darasa la sita kaja kuwatembelea wenzake wiki mbili, mtoto wa kike, na yeye unamtia guesti ?
Nimeishi nyumba ya vyumba viwili vya kulala (kimoja cha wazazi) na jiko na sebule mule ndani tulikua sio chini ya 15...familia ilikuja kupungua baadae sana baada ya mzee kufariki.

Nami huwa najiuliza haya maswali kama wewe napiga hesabu sijui room ya watoto ke, watoto me, wageni me, wageni ke naona nyumba ya room 3 ndogo.... nikiwaza ile nyumba yetu naishia kucheka.
 
Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
Inategemea ni eneo gani, kama ni flat land, Mil 3.5, unamaliza kila kitu hadi kufunga mkanda na kumlipa fundi
 
Kwanza sidhani kama rules and regulations za nyumba za wageni zinawaruhusu ku host wagonjwa...
Jenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule na dining and jiko. Nyumba iwe ya size isiwe na makorokocho mengi. Thena kauwezo kakiongezeka, piga nyumba nyngne ya darasa vyumba viwili na stoo, hapo ni kwa wageni na mfanyakazi
 
Nyumba vyumba vitatu

watoto watatu
msichana wa kazi mmoja
baba mkwe mmoja kaja matibabu

hebu nipangie, mnalalaje ????
Yaani hiyo nyumba ya vyumba 3 kubwa sana, siku hizi si za kujenga mavyumba eti 8, hata upangishaji ni mgumu. Babu atalala na wajukuu tumia double deka. Watoto wenyewe unawPeleka boarding tangu primary.
 
Yaani hiyo nyumba ya vyumba 3 kubwa sana, siku hizi si za kujenga mavyumba eti 8, hata upangishaji ni mgumu. Babu atalala na wajukuu tumia double deka. Watoto wenyewe unawPeleka boarding tangu primary.

nyumbani kwetu mimi tulikuwa tunapiga buku usiku chumbani… tunalala saa 7, 8, wakati wa mitihani ni mpaka liamba, taa zimewaka

hapo babu analalaje?

Okay, tuseme vitoto vilaza havisomi usiku. Wavulana watatu wanalala na babu yao halafu chumba cha tatu msichana wa kazi peke yake ? Is that fair to these four people?
 
Jenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule na dining and jiko. Nyumba iwe ya size isiwe na makorokocho mengi. Thena kauwezo kakiongezeka, piga nyumba nyngne ya darasa vyumba viwili na stoo, hapo ni kwa wageni na mfanyakazi

Jenga nyumba nyingine ya darasa maana yake nini ? Sielewi.
 
Kuwa na Maono ya Mbali

Jenga nyumba kubwa ila anza mdogo mdogo hata ikichukua miaka 10 we target room 8 au 6 vyote master. Mimi ndio target yangu hii. Kiwanja cha slope ndio chenyewe cz unatoa underground.

Kwenye material simamia show mwenyewe mwa mwi. Naamini inawezekana. Epuka kujenga mara mbili mbili.

Amini Ujenzi Sio Gharama Kama Unavyotishwa. Kuna Jamaa Aliniambia Nyumba Yake Ya Room 3 (Vyote Master) alitumia 90 Million mpaka kuhamia. Nikaogopa sana pasipo kuelewa....Aaaah mimi nipe hyo 90 Million uone kama sioteshi ghorofa floor mbili na kuhamia nahamia mpaka na fence.

Again its not what t seems. Anza Kujenga Utashangaa Mungu atakavyo kuongoza utajiuliza ulikua wapi siku zote.
 
Kuwa na Maono ya Mbali

Jenga nyumba kubwa ila anza mdogo mdogo hata ikichukua miaka 10 we target room 8 au 6 vyote master. Mimi ndio target yangu hii. Kiwanja cha slope ndio chenyewe cz unatoa underground...
Ndugu, vyumba 8 vyote ni vya nini au unataka kuishi na ukoo mzima?
 
Ndugu, vyumba 8 vyote ni vya nini au unataka kuishi na ukoo mzima?

Braza watu tuna focus mbali (Mungu tu anijahalie umri mrefu ) ila tunaanza taratibu leo....kuna private office, study room ya madogo, top floor living room, laundry room, kitchen and store kwa nnje kuna underground ambayo ni gym na lounging area nikiwa na ndugu, jumuiya na wana.

Unakuta Msingi wa ghorofa 2 ila unaanza underground na ground floor taratibu tu...ila mi ndio itakua nyumba yangu ya ujanani na uzee na sehem ya kufuga ipo as i speak ninaishi hapa hapa....plot kubwa tu. In 7 - 8 years itakamilika kila kitu hivi hivi mdogo mdogo. Kwani nalala nnje ?? Hehe Document zote halali za property yangu ninazo....hapo tu in less than 40 minutes drive nafika mlimani city

All my life i’ll be developing the place i live and its my first house labda nije kuwa multi-billionaire ndio nitahama.

Maisha Kuchagua.
 
Braza watu tuna focus mbali (Mungu tu anijahalie umri mrefu ) ila tunaanza taratibu leo....kuna private office, study room ya madogo, top floor living room, laundry room, kitchen and store kwa nnje kuna underground ambayo ni gym na lounging area nikiwa na ndugu, jumuiya na wana...
Bila shaka ni madale au salasala hiyo
 
Nyumba vyumba vitatu

watoto watatu...
Hapo solution vyumbani unaweka vidanda vya double deka,juu unaweka kitanda cha futi 4 kwa 6 na chini unaweka 5 kwa 6 ama 6 kwa 6 hapo unakuwa umesovu sana gharama,sasaivi iyo ndio fashion nyumba nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom