Naomba kufahamishwa bei ya viti hivi,mwenye kujua anijuze tafadhali..!

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,805
12,669
Wakuu habari ya usiku.

Nimeulizia bei ya viti hivi kwenye picha kwa jamaa fulani nimeambiwa ni elfu 35 kwa kila kimoja nimeshtuka kidogo je hii bei ni kweli?

Au mwenye kujua anifahamishe tafadhali
 
Mkuu sikua na muda ndo maana nilipiga simu kwa mtu ila nikataka kuthibitisha na pia mitandaoni nilijaribu kutafufa bei bila mafanikio...ila nashukuru kwa mchango wako.
Si uende madukani au umtume nduguyo au rafikiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…