Si uende madukani au umtume nduguyo au rafikiyoWakuu habari ya usiku.
Nimeulizia bei ya viti hivi kwenye picha kwa jamaa fulani nimeambiwa ni elfu 35 kwa kila kimoja nimeshtuka kidogo je hii bei ni kweli?
Au mwenye kujua anifahamishe tafadhaliView attachment 1663371