Utapigwa asee
Ni 27000
Hongera Sana Mkuu kwa kuchagua vitu vizuri.
Si uende madukani au umtume nduguyo au rafikiyoWakuu habari ya usiku.
Nimeulizia bei ya viti hivi kwenye picha kwa jamaa fulani nimeambiwa ni elfu 35 kwa kila kimoja nimeshtuka kidogo je hii bei ni kweli?
Au mwenye kujua anifahamishe tafadhali View attachment 1663371
Si uende madukani au umtume nduguyo au rafikiyo
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us