Naomba kufaham

Naomba kufaham

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua huenda hata kanuni ya kutafuta mke na yenyewe inatambua mizinga ndani ya wiki 2. Kama ni tofauti ina maana mizinga ya haraka huyo si mke?
 
Jaribu kuwauliza wazazi wako ilikuaje upande wao.
 
~be second to reply~

ukiona mapenzi magumu achana nayo. ndo mapenzi hayo
 
Subiri msimu wa sikukuu upite umtongoze upya.
 
si ulienda kwao na gari ya kukodi, umepiga suti kali, unanukia marashi ya dubai huku umebeba iPhone 6 ya kudalalia. Sasa unalialia nini!
 
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua huenda hata kanuni ya kutafuta mke na yenyewe inatambua mizinga ndani ya wiki 2. Kama ni tofauti ina maana mizinga ya haraka huyo si mke?

Mkuu,

Huyo dem amesha kubali maombi yako?

Kama kesha kukubali hapo swala la mama mgonjwa mybe limejitokeza gafla kama ni kweli mhudumie mkwe.

Swala la sikukuu ndio msimu wake huuu, acha kutoa wakusaidie wenzako.

Kodi mwachie alipe mwenyewe.
 
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua huenda hata kanuni ya kutafuta mke na yenyewe inatambua mizinga ndani ya wiki 2. Kama ni tofauti ina maana mizinga ya haraka huyo si mke?

Maji ukiyavulia nguo......
Hukufahamu tabia yake kabla ya kumuoa?
 
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua huenda hata kanuni ya kutafuta mke na yenyewe inatambua mizinga ndani ya wiki 2. Kama ni tofauti ina maana mizinga ya haraka huyo si mke?

Nimempenda huyo dada muwazi sana..........be positive to her msaidie kile unachoweza love is caring
 
hivi kama we ni mbahili unatongoza warembo wa nin asa?
 
Umeingia chaka..
Tafuta suluhuu mapema
Uende mbele..utoke
Urudi nyuma..
La.. ubakie hapo hapo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom