Naomba kuelimishwa.

Naomba kuelimishwa.

Mimi kwa kweli , napenda mwanaume asiyezungumza yeye anafanya vitendo, maana huwa siwaamini wanaume wanaosema nakupenda maana hilo ni neno kama neno lingine ambalo mtu anaweza kutamka, ila ukipata mwanaume ambaye yeye anakuonyesha kuwa ana care, huyo kwa kweli anakuwa mwanaume ambaye ni mzuri na anakuwa hadanganyi.hilo ni wazo langu

Lisa! Mapenzi yako namna nyingi! Kuna wengi maneno yao tu, unapata usingizi!
Na kuna wengi si waongeaji lkn vitendo vyao vinadhirisha.
Na kuna wengina kama mimi! Tumejaaliwa vyote! Yaani maneno na vitendo!
Teh teh teh teh!
Kwa hivyo ukiweza kupata mwenye vyote viwili, ni kama vile umeshinda jackpot!
Hayo pia ni mawazo yangu
 
Back
Top Bottom