Naomba kuelimishwa.

Naomba kuelimishwa.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,354
Hivi unapomtongoza msichana,halafu akakuambia atakufikiria..huwa wanaenda kufikiria kweli au huwa wana maana gani?naomba kuelimishwa juu ya hilo,maana chemistry ya hawa viumbe ni ngumu sana kuielewa.
 
sasa ulitaka akuambie nini? mtu alikuwa hajui kama wewe unampenda na yeye hajafikiria kukupenda so anahitaji muda ili kujiridhisha kama anakuhitaji ama la.
 
ukiona demu anakwambia ngoja afikirie jua huyo mshamba
 
Hivi unapomtongoza msichana,halafu akakuambia atakufikiria..huwa wanaenda kufikiria kweli au huwa wana maana gani?naomba kuelimishwa juu ya hilo,maana chemistry ya hawa viumbe ni ngumu sana kuielewa.

Sasa si uwaulize next time mkionana kama walienda kufikiria kweli au walikuwa na maana gani?
Mmezidi kuwafanya wanawake kama lab pets
 
wanaenda kuwaza , kufikiria, huyu asije akawa popo bawa na mnazi mrefu, na ndiyo maana huwa wanaangalia suruali kumbe wancheki kituuuuu!!!
 
Hao raia kuna kitu wanachokikwepa.Na kitu chenyewe ni kwamba wanaweza kukukubali au kukukataa hivyo wanafanya hivyo ili watoke na majibu sahihi aidha wakuchunguze tabia na mienendo yako ili baadae wasije jutia majibu au maamuzi ya papo kwa papo.
 
Hizo swaga zilikuwa tamu Enzi zileeeeeeeee. Lakini kisasa vijana wanadhani wanacheleweshwa maana mtu akisema ''nakupenda'' anamaanisha anataka kuduu.
 
Ujue anataka kwenda kumpa shost yake mipasho..je wafaa au la...supportive idea
 
Hivi unapomtongoza msichana,halafu akakuambia atakufikiria..huwa wanaenda kufikiria kweli au huwa wana maana gani?naomba kuelimishwa juu ya hilo,maana chemistry ya hawa viumbe ni ngumu sana kuielewa.

Ili nikuelimishe, kwanza niambie umri wako, maana naweza kuelimisha mtu ambae ananizidi umri
 
Sometimes m/ke anakuletea shobo hadi unamuonea huruma, unaamua kumtokea anakwambia umpe muda akafikirie! Teh teh teh! Afu mwengine eti anaapia kabisa atatoa jibu zuri! Na kweli anatoa jibu zuri!
Sjui unawazungumziaje hawa?

sasa ulitaka akuambie nini? mtu alikuwa hajui kama wewe unampenda na yeye hajafikiria kukupenda so anahitaji muda ili kujiridhisha kama anakuhitaji ama la.
 
Kwa mtazamo wangu kijana mwenye nia njema hawezi kulipokea jibu la papo kwa papo. Yaani umemwambia leo binti yaliyoujaza moyo wako means wewe ulikaa na jambo hilo for sometime then ukimaliza tu kumwambia binti nae aseme yes lazima utajiuliza kulikoni kwamba je alijua nitamwambia jambo hili???Mara baada ya kumueleza binti yaliyoujaza moyo wako ni vema ukampa muda ili nae atafakari kama kweli yuko tayari kuianza safari hiyo na wewe na pia inampa nafac ya kukuchunguza kama je unamfaa au la.
 
km yy ni M.A.L.A....Y....A atakupa jib hili hapo hapo..."I luv u 2 beiiiby"
 
Mwanamke mwingine anakuwa amekupenda yeye kabla sasa amekuonyesha ishara zote kwakuwa ni ngumu kuanza kufunguka......sasa mwanaume ukimtongoza mwanamke wa aina hiyo hawezi kuvunga coz anahofia kukupoteza.

Kwa mtazamo wangu kijana mwenye nia njema hawezi kulipokea jibu la papo kwa papo. Yaani umemwambia leo binti yaliyoujaza moyo wako means wewe ulikaa na jambo hilo for sometime then ukimaliza tu kumwambia binti nae aseme yes lazima utajiuliza kulikoni kwamba je alijua nitamwambia jambo hili???Mara baada ya kumueleza binti yaliyoujaza moyo wako ni vema ukampa muda ili nae atafakari kama kweli yuko tayari kuianza safari hiyo na wewe na pia inampa nafac ya kukuchunguza kama je unamfaa au la.
 
Unajua kuna tatizo kidogo ambalo mm,nimeliona kwa vijana wengi wewe unakutana na m/mke leo humjui unamtongoza unamwambia unampenda,unampendaje ni bibi yako huyo,kama unataka majibu mazuri jenga urafiki,soma psychology yake,jaribu kuleta viashiria vya kumtaka hapo msome je nikiingiza neno litakubalika,kwa wataalam unacheck 2 unajua hapa poa hapa noma na hii itakusaidia utakapoingiza neno hatakwambia nakufikiria atataka ujieleze zaidi ambapo ni rahisi kupeleka majeshi mpaka mji mkuu wa moyo wake.
 
Mwanamke mwingine anakuwa amekupenda yeye kabla sasa amekuonyesha ishara zote kwakuwa ni ngumu kuanza kufunguka......sasa mwanaume ukimtongoza mwanamke wa aina hiyo hawezi kuvunga coz anahofia kukupoteza.
Hahahahahahahahaha kazi kweli kweli kwa hiyo unasema yes faster sio. Hata hivyo mambo mengi yamebadilika lazima vijana mwende na wakati chelea chelea unakuta mwana si wako. Haya jamani kila kheri.
 
Mimi kwa kweli , napenda mwanaume asiyezungumza yeye anafanya vitendo, maana huwa siwaamini wanaume wanaosema nakupenda maana hilo ni neno kama neno lingine ambalo mtu anaweza kutamka, ila ukipata mwanaume ambaye yeye anakuonyesha kuwa ana care, huyo kwa kweli anakuwa mwanaume ambaye ni mzuri na anakuwa hadanganyi.hilo ni wazo langu
 
Back
Top Bottom