NAOMBA KUELIMISHWA

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
494
289
habari za wakati hu,
ni ende moja kwa moja kwa
mada husika.
ni kuhusiana na swara la umri na madiliko yake kitabia.
kwa kweli kuna jambo laniwazisha.
mwanamke mwenye umri kati 50-60,
mwanaume mwenye umri Kati 60-65,
huo umri hapo ju ni range umri wazazi
wangu,
naombani kufahamishwa sifa
umri apo juu na tabia zao...
tafadhar nipewe elimu
 
Back
Top Bottom