Naomba kuelimishwa kuhusu maneno haya;******,SHOGA,DINGI,KUTOHOA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuelimishwa kuhusu maneno haya;******,SHOGA,DINGI,KUTOHOA.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHAI CHUNGU, Feb 23, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  I'm serious here,so pls I don't like any kind of joking!!!!!
  Mwenye kujua anieleweshe bcoz my kamusi haina maana hizo ingawa nasikia BAKITA wameyaweka ktk kiswahili sanifu.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kanunue kamusi,but shoga ni marafiki wa kike na dingi ni mzee,kutohoa nadhani ni kupambanisha ingawa pia I'm not sure,
  Ngoja waje wataaram wa lugha wakusaidie.
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hiyo ****** sijui maana yake kwani siyo neno. Neno shoga laweza kuwa na maana mbili, kwanza ni rafiki (hasa kwa wanawake), pili ni mwanaume mwenye kuingiliwa kinyume na maumbile.
  Neno dingi ni msimu (maneno yasiyo rasmi lakini yanatumiwa na kikundi flani cha watu katika maongezi yao). Neno hili hutumiwa hasa na vijana likimaanisha mzazi wa kiume (baba).
  Kutahoa ni neno fasaha la kiswahili lenye maana ya kuchukua neno kutoka katika lugha moja na kulitumia kwenye lugha nyingine. Mfano neno shati limetoholewa kutoka neno la kiingereza shirt na linatumika kwenye Kiswahili.
   
Loading...