Naomba kueleweshwa nini neno uswahila.

Naomba kueleweshwa nini neno uswahila.

jompyain

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Utamkuta mtu anagobana na mwenzake ua anasimulia habari za mgomvi
wake utasikia akisema mie sio mswahili aniachie mambo yake ya mazese ya huko
uswahilini ukimtazama huyo anaetoa maneno hayo mwaeusi wa rangi yeye mpaka roho yake je
uswahili wa mwenzake ni umasikini au ........
 
Hebu edit hiyo heading yako kwanza ndio tuchangie........................
 
Wasio waswahili huwa hawanyi, hawajambi, wanatembea angani, wana damu ya kijani, na hawanyeshewi na mvua.
 
mimi ni mswahili pia nadhani hata wewe ni mswahili kwani unapata haja kubwa na ndogo kama mie.
 
miswahili inakuana tabia zaajabu ajabu ndio maana ukistarabika kama mimi huwezi kamwe kuitwa mswazi kizembezembe..
 
Kwa hiyo watu wa Mazense ndo wanaotukana? Obey je?
 
Kazii kweeeli kweeli....!

Kumbe waswahili peke yao ndiyo wanao enda haja.

Kwa fasihi ya ligha, mswahili ni mkazi wa pwani ya Africa mashariki ambae amechanganyia makabila kadha. Lakini ki ligha ya mitaani, mswahili ni yeyote ambaye anatumia ukweli kidogo na uongo mwingi kwenye porojo za kujinufaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom