vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,285
- 820
Yaani katika watu wote wa hapo SAUT MBEYA loan officer ameanza kukupigia ww. My dear brother chai yako haina tangawizi wala sukari alafu ni chungu mnoMa loan ofisa wa vyuo watakuwa wana access moja kwa moja na loan board sasa why mnabisha wazee
Tusubir
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
umepigiwa sasa hivi?Lazima ujue hii ni private institute wanahitaj wateja ili kujiendesha ndyo maana wanakupa taarifa mapema wao wanafunzi ni wateja
Wazee mbona hamuamini
Basi na msiami over
Ila Mwenyezi Mungu awasaidie nanyi muwemo oh lord atufanyie wepec wakuu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ma loan ofisa wa vyuo watakuwa wana access moja kwa moja na loan board sasa why mnabisha wazee
Tusubir
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Akikujibu nistue.....Sasa unajua umepata asilimia ngapi mkuu ?
Ok poa ..hongera mkuuSijajua maana kanipa taarifa tu huwez anza uliza mambo ya % hyo nitafatilia mwenyeww
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Jamani ingieni sas
Disadvantages of unemploymentJamani fungueni account zenu za helsb mambo ni moto
Amiin mkuu na hongera sana kwa kupata. Yaani hapa na bonge la usingizi sema siwezi lala kutokana na mawazo ya loan kwa kweliMkuu tumeanza wote kusubir hii batch toka mwanzo kuna vampire shombe la kiharabu na wengi Mwenyezi Mungu mkuu atusaidie wote tupate
Mm sina hakika sana ila mtu kanipigia simjui kajitambulisha hvo anatoka chuo nilichopata mm ananihongera kwamba nimepata na iwe hvo japo akaunti yangu haijabadrika lkn hawa ma loan officer wa vyuo husika wana access moja kwa moja toka loan board naanza amini
Wote tuombe tutapata
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Amiiin
Halafu HESLB ni Wazembe sana, hata katika kutatua matatizo ya watumishi wanaokatwa pesa wakiwa kaziniWakuu Hiv Kuna tatzo gan mbona thread za mikopo huwa zinafutika ghafla
Sawa mkuu kama ni kweli basis hongera yako, Sisi hebu tuendelee kusubiri mpaka sekunde ya mwsho..Mkuu tumeanza wote kusubir hii batch toka mwanzo kuna vampire shombe la kiharabu na wengi Mwenyezi Mungu mkuu atusaidie wote tupate
Mm sina hakika sana ila mtu kanipigia simjui kajitambulisha hvo anatoka chuo nilichopata mm ananihongera kwamba nimepata na iwe hvo japo akaunti yangu haijabadrika lkn hawa ma loan officer wa vyuo husika wana access moja kwa moja toka loan board naanza amini
Wote tuombe tutapata
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Yaani Tz yetu kila kitu shida tu. Yaani tokea saa 9 hadi saiz hawajabadili information yoyoteAmiiin
Kweli kaka tatizo ni hawa loan board ila nadhani vyuon majina wameyapata mapema hawa maafisa wa mikopo mm sitanii wakuu wamenipigia kabisa Mungu wangu shahidi sasa shughri ni mtandaoni kuyaweka.Sawa mkuu kama ni kweli basis hongera yako, Sisi hebu tuendelee kusubiri mpaka sekunde ya mwsho..
Tulianza wote kwenye shida naamini tutamaliza na furaha..
Mungu Tuvushe katika hili
Yaan hii Leo ndo wamezingua kabisa bora hata wale waliopata batch 1..Yaani Tz yetu kila kitu shida tu. Yaani tokea saa 9 hadi saiz hawajabadili information yoyote
Yaani wapo hovyooo sana. Acha tusubili zaidiYaan hii Leo ndo wamezingua kabisa bora hata wale waliopata batch 1..
Inamaana wanashindwa kupanga vitu vikakamilika then wakatoa kwa pamojah.!!
Wacha nishangae tu
N'gombe wa masikini hazai mkuuYaani Tz yetu kila kitu shida tu. Yaani tokea saa 9 hadi saiz hawajabadili information yoyote
Kweli kaka tatizo ni hawa loan board ila nadhani vyuon majina wameyapata mapema hawa maafisa wa mikopo mm sitanii wakuu wamenipigia kabisa Mungu wangu shahidi sasa shughri ni mtandaoni kuyaweka.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app