Naomba kueleweshwa kuhusu Maji

Naomba kueleweshwa kuhusu Maji

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,275
Mpka sasa huwa sielewi kwanini kuna maji chumvi na maji baridi!

Naomba kufahamishwa kwanini kuwe na maji chumvi na maji baridi wakati yote yanatoka ardhini,

Kwanini isingekuwa maji chumvi pekee kwani bahari ndio imechukua % kubwa Duniani? Na ukizingatia maji yanasafiri kutoka sehem moja hadi nyingine kupitia mikondo yake....

Haya maji baridi natamani kujua kwanini yawe yabaridi, yanapatikana maeneo gani!

Nawasilisha
 
Kwa ufahamu wangu kidogo nadhani hii huwa inasababishwa na kiasi cha madini yaliyoko katika miamba ya eneo husika. Kama eneo lina miamba ya madini chumvi mengi basi utapata maji chumvi ila miamba haina madini chumvi mengi utapata maji baridi. Kumbuka unaweza kubadilisha maji chumvi kuwa maji baridi kwa kuregulate kiasi cha chumvi kilichopo. Kuhusu wingi wa madini na aina ya madini yanayosababisha maji kuitwa maji chumvi ngoja wakemia waje kukuelezea vizuri.
 
Unabadili vipi maji chumvi kuwa ya baridi?
 
Huenda kinachokuchanganya hapa ni lugha ya kiswahili.
Maji baridi = fresh water kwa kimalkia
Maji chumvi = salt water kwa kimalkia
Maji baridi ni sawa na maji ya mvua, yaani hayana ladha. Maji chumvi ni sawa na maji ya bahari, yaani yana ladha ya chumvi.

Hivyo unaweza kuyabadili maji ya chumvi kuwa maji baridi kwa kuyachemsha na kukinga mvuke ( distillation). Na pia unaweza kuyabadili maji ya baridi kuwa maji ya chumvi kwa kuweka chumvi.

Sasa ukitaka kufahamu kwa nini maji ya bahari yana chumvi unatakiwa kusoma hydrological cycle ( Water cycle) na hydrogeology.
 
Unabadili vipi maji chumvi kuwa ya baridi?
Siwezi kuelezea in details ila hiyo process ipo ya kupunguza madini chumvi kwenye maji chumvi kwa ajili ya matumizi flani. Hata hapa Tz kuna project niliisikia awamu ya nne ya kufanya kitu kinaitwa Desaltilization ya maji bahari kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji mji wa Daressalaam na jirani zake.
 
Desalination!
 
Maji baridi unaimanisha nini?

Uwepo wa maji baridi unaweza ukasababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo FRIJI na maeneo yale ya njanda za baridi.

Tengua maelezo yangu sasa!
 
Back
Top Bottom