Jinsi gani ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku na nguruwe?

A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
1,098
1,498
Habarini za jioni wanandugu,

Nimekuja kwenu kuomba kufahamishwa au kuelimishwa namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku, chakula hicho kikiwa na virutubisho vyote pamoja na madini yote.

Naombeni muongozo wenu katika hili

Asanteni
 
Samahan naomba kuuliza swali nje ya maada husika....Hv broiler wanatokana na mayai yap?
 
Wana mayai yao maalumu ambayo yanapatikana kwenye kampuni za uzalishaji wa vifaranga broilers
 
Ngoja waje
IMG_20211204_110435.jpg
 
Huwa najiuliza broilers na kuku wa kienyeji, vyakula vyao vinafanana
Hapana havifanani. Broilers wanahitaji balanced feed zaidi kuliko wa kienyeji.

Hii ni kwa sababu broilers waliandaliwa kua kuku wa nyama wa kibiashara, hivyo mfugaji unalazimika kumpa chakula special ili akue, afikishe uzito wa kuuzika kwa wiki 4-5.

Ukimpa chakula cha kuku wa kienyeji hawezi kufikisha uo uzito kwa wiki hizo. So unaweza kula hasara.

Kuku wa kienyeji anaweza kula chakula cha broilers, ila haitakulipa maana hao sio fast growers, so atakula chakula cha gharama na ataendelea ku grow slowly.

Ushauri. Kuku wa kienyeji wafugwe kwa njia ya semi-intensive, ambayo unawaacha wanajitafutia chakula then unakuja kuwa supplement na chakula chako. Broilers wapewe commercial feeds.
 
Habarini za jioni wanandugu,

Nimekuja kwenu kuomba kufahamishwa au kuelimishwa namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku, chakula hicho kikiwa na virutubisho vyote pamoja na madini yote.

Naombeni muongozo wenu katika hili

Asanteni
Inategenea na aina ya kuku.

Je kuku wako ni wa kienyeji au wa kisasa?

Wana umri gani?

Unaweza kupewa formula kwa kuku wa kienyeji, ila kwa kuku wa isasa ni ngumu kwa sababu wanahitaji special feed zaidi ili waweze kumaintain productivity.
 
Hii formula ya kuku wa kienyeji ndio inahitajika haswa..
 
Inategenea na aina ya kuku.

Je kuku wako ni wa kienyeji au wa kisasa?

Wana umri gani?

Unaweza kupewa formula kwa kuku wa kienyeji, ila kwa kuku wa isasa ni ngumu kwa sababu wanahitaji special feed zaidi ili waweze kumaintain productivity.
Vifaranga wana wiki moja sasa na ni aina ya saso,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom