Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

Hahaaaa ,,km ata kuigilizia GENTAMYCINE we unaandka GARAMYCIN duu kwel stelles hatariii na nusu
Gentamycine kwa jina jingine inaitwa Garamycin... Acha kujifanya mjanja kwa vitu usivyovijua mkuu utaaibika! Kama vp twende wote beach maana inaonekana na wewe una stelles
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom