Naomba kirefu cha C.C.M?

Naomba kirefu cha C.C.M?

Chama cha Matikiti
Chama cha Malipizo
Chama cha Mapambano
Chama cha masufuri.
 
Christian Church Movement....hii ndio kirefu harisi cha ccm...mwalimu nyerere alikuwa anatafuta uhuru na haki za wakristo tanzania ndipo akaanzisha vuguvugu la kutafuta haki za kuunganisha wakristo...lakini yeye ndiye akahadaa wananchi kwa kusema eti muunganiko wa asp na tanu ndizo zimeleta ccm...uliona wapi muunganiko wa maneno ya kiingereza ulete neno la kiswahili...

hapa kuna ukweli mtupu.
 
jamani hivi virefu vitatusaidia kujua mengi jamani....chota cha Mamiiii
 
ChuChuMaa
Chama cha machoko
CheCheMea
Chama Cha Mashudu
 
Catholic Church Movement.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ongeza source ni ISSA SHIVJI. MDAHALO WA ITV SAA 3-4 USIKU, 30.05.2012
 
Back
Top Bottom