Naomba kirefu cha C.C.M?

Christian Church Movement....hii ndio kirefu harisi cha ccm...mwalimu nyerere alikuwa anatafuta uhuru na haki za wakristo tanzania ndipo akaanzisha vuguvugu la kutafuta haki za kuunganisha wakristo...lakini yeye ndiye akahadaa wananchi kwa kusema eti muunganiko wa asp na tanu ndizo zimeleta ccm...uliona wapi muunganiko wa maneno ya kiingereza ulete neno la kiswahili...
Harufu ya ubaguzi
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kidela!
 
wachonganishi utawajua tu.CCM imekuwa harakati za makanisa ya kikristo tena, duh, huyu lazima atakuwa maamuma
 
wachonganishi utawajua tu.CCM imekuwa harakati za makanisa ya kikristo tena, duh, huyu lazima atakuwa maamuma

Mkuu hao ni wale wapumbavu wasiojitambua. Hajui likitoholewa kama alivyofanya yeye linaweza kutoa maana hasi za dini yake
hata alfu moja. Tatizo udini ukishakukaa huwezi kuona au kuwaza nje ya box.
 
chama cha Malimbikizo
Chama cha majambazi
Chuo cha mataira
Cheo cha makahaba
Chama cha makanjanja
 
Chit Chat Muhimu
Chumba Cha Maiti
Chakla Cha Mzee
Chombo Cha Mafisadi
 
Kuna mkenya rafiki yangu aliniambia kwa utani kwamba wanaiita CENTER FOR CORRUPTION MANAGEMENT! Na CDM pia ina kirefu chake

You are a Great Thinker indeed! Ulikosea kidogo tu kujibu topic? 'Naomba kirefu cha C.C.M?'
 
Chama Cha Majambazi
Chama Cha Magamba
Chama Cha Mauaji
Chama Cha Mafioso
Chama Cha Makundi
Chama Cha Mizengwe
Chama Cha Majanga
Chukua Chako Mpema!!
 
Kuna mkenya rafiki yangu aliniambia kwa utani kwamba wanaiita CENTER FOR CORRUPTION MANAGEMENT! Na CDM pia ina kirefu chake

hakuna cdm ila chadema, waliliona hilo. Ukisema cdm itakua na maana nyingi but chadema ni chadema tu.
 
Back
Top Bottom