Naomba kazi

Unakosea mkuu we ni mtu timamu sana humu
Jifunze kuwajibika kama kijana
Bandari ina warabu huwezi kupata hata kibarua pale
Serikali ilitakiwa iwaangalie vijana mpate mitaji hata ujuzi mjiajiri ila ndo inauwa Kwa maelfu
Ukiambiwa tupinge mambo haya wewe unabaki kupuuza
 
Wewe ni chawa maskini Nimekuambia njoo nikupe kazi ya kukudinya
 
Wewe ni chawa maskini Nimekuambia njoo nikupe kazi ya kukudinya
Jamaa kumbe ndo huwaga uko hivi humu jukwaani nilikuwa nakuona ni mtu smart sana aisee kumbe upande wa pili ndo uko hivi
 
Jifunze kuwajibika kama kijana
Bandari ina warabu huwezi kupata hata kibarua pale
Serikali ilitakiwa iwaangalie vijana mpate mitaji hata ujuzi mjiajiri ila ndo inauwa Kwa maelfu
Ukiambiwa tupinge mambo haya wewe unabaki kupuuza
Tuko pamoja Mkuu nimekuelewa
 
Wapi imetajwa CCM hapo?

Yani hadi wewe wakufanya hivi aisee??
Hili swali lako inatakiwa ulirudishe kwako likusaidie wewe kujitafakari upya. Make kila mtu unamuuliza "hadi wewe" "hadi wewe"

Yes hadi mimi, nasimama upande wa haki na kama ni muoga basi sitawakatisha tamaa wanaosimamia haki.

Wote unaowauliza hadi wewe unawakera na michango yako nikiwemo mimi.
 
Hata mimi nasimama upande wa haki na nitaendelea kusimama upande wa haki siku zote

Sehemu ulipoona nimekosea tunaeleweshana palepale na sio kuja kuchafuana hapa ambapo hata hapahusiani na politics

Anyway kama unauhitaji wa kijana hapo kwa ofisi nisaidie mkuu nijishikize
 
Mi nataka dada wa kazi za ndani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…