Naomba kazi

Ukipata pesa
Jifunze kuoka mikate na keki na vitu kama hivyo
Hutalia njaa tena
Tafuta walimu na pia online kuna masomo haswa you tube

Huko goba unaishi na wazazi?
Ahsante sana dada yangu
 
Kama unafanya kazi kiwandani na umeona haitoshelezi vigezo, sasa utakuwa unahitaji kazi gani labda tuanzie hapo na mwanachama wa chama gani?
 
Kama unafanya kazi kiwandani na umeona haitoshelezi vigezo, sasa utakuwa unahitaji kazi gani labda tuanzie hapo na mwanachama wa chama gani?
Mwanachama wa chama cha Gen Z

Kazi ya kiwandani masaa ni mengi sana ya kazi halafu ujira ni mdogo 4000 per day kula ni mchana tu au usiku tu na kazi ni nzito
 
Nilikuwa nimedhamiria kumwajiri lakini Kwa hiki nilichokiona simtaka kwenye kampuni yangu.

Kwanza kijana kama huyu anamchango mdogo sana katika Tanganyika yetu.
Boss, mkono ukinyewa na mtoto haukatwi bali huoshwa

Hii Tanganyika lazima tuikomboe
 
Ukipata pesa
Jifunze kuoka mikate na keki na vitu kama hivyo
Hutalia njaa tena
Tafuta walimu na pia online kuna masomo haswa you tube

Huko goba unaishi na wazazi?
Chawa wa ccm huyo, usipoteze muda kumshauti chochote cha maana
 
Mwanachama wa chama cha Gen Z

Kazi ya kiwandani masaa ni mengi sana ya kazi halafu ujira ni mdogo 4000 per day kula ni mchana tu au usiku tu na kazi ni nzito
Sawa kijana, komaa kwanza 9D ipite kisha unicheki, maana nisije nikakuajiri halafu 9D nikafa kwa barabara ukaja kudai nilikuachia mali zangu kabla sijatandika daluga.
 
Chawa wa ccm huyo, usipoteze muda kumshauti chochote cha maana
We jamaa una shida gani? Huyo unaemwambia hivyo jana tu tumepishana mtazamo ila amekuja na mawazo positively

Hii inaonesha kuwa kweli yeye ni Great thinker na yuko matured

Kupishana mtazamo haifanyi tuwe maadui that's why mpaka leo tunaishi vizuri tu waislamu na wakristo palipo na tatizo tunasaidiana bila kubaguana

Mi sio chawa wa ccm kama unavyodai
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…