amaniitawale
New Member
- May 2, 2025
- 3
- 3
Habari zetu wakubwa.
Mimi nipo Naishi Dar es salaam.
Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka.
Naweza kuendesha Manual na Automatic.
Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving.
Nilijiunga mafunzo ya udereva mwaka 2013 pale Tanga.
Kwa ambao walisoma udereva pale miaka hiyo watakuwa wanamfahamu mwalimu Devi na Mshana kwenye mafunzo ya udereva.
Kama utakuwa na connection hiyo basi naomba unipigie simu
0713294409
#AMANIITAWALE