Naomba Kampani Yenu

Naomba Kampani Yenu

Hongera kwa kubadili id,kuwa mwangalifu usipigwe ban tena.
 
hahahaaaa! hyo ngumu kujua. Ni sawa na kumwambia Balali ajiite jina lake halisi huko aliko wakat watz wanajua alishakufa

Utajulikana tu, uzuri mwandiko haubadiliki na nitakuambia kwa pm id zako nyingine
 
Back
Top Bottom