Ndeke afwege
Senior Member
- May 20, 2014
- 154
- 48
- Thread starter
- #21
Utajulikana tu, uzuri mwandiko haubadiliki na nitakuambia kwa pm id zako nyingine
hahahahaaaa! Mkuu hebu niambie unajifanya kachero?
Utajulikana tu, uzuri mwandiko haubadiliki na nitakuambia kwa pm id zako nyingine
hahahahaaaa! Mkuu hebu niambie unajifanya kachero?
Mie tena? Kwa mwandiko tu nshaanza kukuhisi ngoja nicomfirm ntakuambia wewe ni nani....
haya simba, na wake zetu huku pia usiwalie mingo.
Nahisi wewe ni naniniliii ila nikumbushe tafadhali....Habar wana JF wote nawapenda sana members wote japo nimekuja kivingne naomba kampani yenu cc himidin nameless girl christine ibrahim miss nedy Evelyn Salt masai dada na wengne wengi.