Mwisho wa siku nilijua itakusumbua ubuntu anatumia mtu mwenye uelewa kidogo wa haya mambo maana kuna software nyingine hata kuziinstall huwezi. Mimi laiti ningeweza pata softwares kama illustrator, photoshop, premier pro sony vegas za ubuntu ningeamia kabisa ubuntu kwakuwa nikitumia wine bottler still software hazi run smoothly kama navyotaka.
Mkuu, kwa kifupi ni kwamba hakuna program iliyopo window then Ubuntu hawana program kama hiyo.
Kwenye ubuntu kuna programs zinazofanya kazi kama Adobe, iTune, IDM, nk. na ambazo zipo window na ubuntu zipo ni kama VLC, MOZILLA NA CHROME (Ambazo ni program zinazotoa huduma zake free kwa kila mtu). Hivyo ukienda software centre utakuta programs ambazo ni kama zile za window sema hizo ni free na zinauwezo sawa na uluzozizoea wewe.
Program za Kuuzwa kama Photoshop n.k hatuzitaki ubuntu maana lengo la ubuntu ni kila mtu anufaike na OS.
Kama kuna program huioni software centre update PC yako utaona wameongeza programs mpya daily.
Mimi sionagi hata umuhimu wa WINE maana sina mpango na programs za window nimejizoesha za Ubuntu.
Mkuu nimependa jinsi ulivyyofafanua ! Tatizo watu wanadhani ukitaka kuandika kwenye ubuntu basi kuwe na kitu kama ubuntu word!! au ubuntu exell!
kila program ya ubuntu inatengenezwa na developer tofauti, inategemea yeye developer ataamua kuiita jina gani. ikitokea program moja imetengenezwa nadeveloper zaidi ya mmoja, labda mfano music player, basi program zao hushindanishwa kupitia reviews itakayoonekana ni bora ,inakuwa ni default app kwenye next release of ubuntu,watu walisha zoea ,window media player, microsoft powerpoint nk ,wanadhani bila program hizo hakuna mbadala. usishangae kuona kila release ya ubuntu zina tofautiana default apps ,ni kwa sababu hiyo. karibuni linux world! kuna raha zake!!
Have you checked GIMP with all the plugin registry and brushes (et al)? What is that which cannot be done in GIMP?lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument.
I don't use Illustrator so no suggestion here!lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument.
Have you checked GIMP with all the plugin registry and brushes (et al)? What is that which cannot be done in GIMP?
With GIMP 2.8 Much can be done.....and it is simpler than photoshop.
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!me acha ushabaki kuwa realistic haigusi kwa photoshop mkuu unless labda kama wewe ni more than too much yani ni bonge la wizard kwenye graphics to the extend hata mtu akupe microsoft paint utatengeneza picha kiwango cha photoshop kwasababu kuna watu wenye level hizo. Lakini otherwise bado haijafikia photoshop
Don't be overzealous! Some Linux programs are missing in Windows (eg Valgrind, Gnome DE, Nautilus et al). Some Programs are windows only and you can't find it on Linux (FL Studio: though LMMS might be promising, Visual Studio Debugger et al). So acknowledge this!Mkuu, kwa kifupi ni kwamba hakuna program iliyopo window then Ubuntu hawana program kama hiyo.
Nope! Some are missing! Anything for Adobe Audition? Cubase SX?Kwenye ubuntu kuna programs zinazofanya kazi kama Adobe, iTune, IDM, nk. na ambazo zipo window na ubuntu zipo ni kama VLC, MOZILLA NA CHROME (Ambazo ni program zinazotoa huduma zake free kwa kila mtu). Hivyo ukienda software centre utakuta programs ambazo ni kama zile za window sema hizo ni free na zinauwezo sawa na uluzozizoea wewe.
Guy I wonder what is wrong with you. You are being overzelous than even Canonical themselves. If Ubuntu thought that way they would be closing doors than opening.Program za Kuuzwa kama Photoshop n.k hatuzitaki ubuntu maana lengo la ubuntu ni kila mtu anufaike na OS.
As Said before Some are forever missing!Kama kuna program huioni software centre update PC yako utaona wameongeza programs mpya daily.
Ah! If I want to run FL Studio in Linux, how do I do without Wine? What If I need MS Publisher?Mimi sionagi hata umuhimu wa WINE maana sina mpango na programs za window nimejizoesha za Ubuntu.
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!
Hapo kwenye red ni insult to GIMP users and developers!

Hahaha mkuu hiyo software nimeitumia sana tu niliona wanaisifia nikaiweka, ni nzuri kwanza inatumia nusu ya RAM compared to photoshop, iko fast ina options kibao, na easy kweli, user firendly but trust me acha ushabaki kuwa realistic haigusi kwa photoshop mkuu unless labda kama wewe ni more than too much yani ni bonge la wizard kwenye graphics to the extend hata mtu akupe microsoft paint utatengeneza picha kiwango cha photoshop kwasababu kuna watu wenye level hizo. Lakini otherwise bado haijafikia photoshop
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!
It seems runs on Ubuntu with winemkuu si kwamba ubuntu sina ninayo na naitumia sana, lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument. nimeanza tumia ubuntu kitambo japo si sana lakini nimenza itumia toka 2008.
najua ni open source na free softwares lakini baado kuna softwares nyingi za maana kuzipata kwenye ubuntu platfoam ngumu ndiyo maana utakuta mtu anatumia ubuntu na window beside inakuwa aside unless labda kama mtumiaji ni mtu wa music, movies, internet na docs
Don't be overzealous! Some Linux programs are missing in Windows (eg Valgrind, Gnome DE, Nautilus et al). Some Programs are windows only and you can't find it on Linux (FL Studio: though LMMS might be promising, Visual Studio Debugger et al). So acknowledge this!
Nope! Some are missing! Anything for Adobe Audition? Cubase SX?
Guy I wonder what is wrong with you. You are being overzelous than even Canonical themselves. If Ubuntu thought that way they would be closing doors than opening.
Thank God they are clever enough. See the links below
Find more apps in Ubuntu Software Centre | Features | Ubuntu
Publish | Ubuntu App Developer
As Said before Some are forever missing!
Ah! If I want to run FL Studio in Linux, how do I do without Wine? What If I need MS Publisher?
Its Good you did put "me" its your personal opinions you know
Enjoy,
BH
Mkuu nimependa jinsi ulivyyofafanua ! Tatizo watu wanadhani ukitaka kuandika kwenye ubuntu basi kuwe na kitu kama ubuntu word!! au ubuntu exell!
kila program ya ubuntu inatengenezwa na developer tofauti, inategemea yeye developer ataamua kuiita jina gani. ikitokea program moja imetengenezwa nadeveloper zaidi ya mmoja, labda mfano music player, basi program zao hushindanishwa kupitia reviews itakayoonekana ni bora ,inakuwa ni default app kwenye next release of ubuntu,watu walisha zoea ,window media player, microsoft powerpoint nk ,wanadhani bila program hizo hakuna mbadala. usishangae kuona kila release ya ubuntu zina tofautiana default apps ,ni kwa sababu hiyo. karibuni linux world! kuna raha zake!!
ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.