kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
- Thread starter
-
- #41
cha msing ni kuangalia unahtaj window kwamatumiz gan nyngne blah blah huwezikufananisha kifo na ucngz ubuntu haiwez mfkia winos kwa namna yeyote ile. labda u frii from virus tu
mkuu SuperImpressor pamoja na hayo uliyoyasema Kiboko ya Os ni UbuntuMwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.
mkuu SuperImpressor pamoja na hayo uliyoyasema Kiboko ya Os ni Ubuntu
mkuu mimi nimeshatumia karibu Windows OS zote kuanzia Windows 98 Mpaka kufikia hii leo Windows 8 lşakni matatizo kila
siku hayaishi haswa hawa Vijidudu vya Virus,Spyware,Trojans,Worm na Malware yaani Windows OS kila siku uwe
muangalifu kutumia lakini kitu kama Ubuntu ndio kipo Safe unatumia utakavyo hakuanwoga wa
Ma:Virus,Spyware,Malwarewala Trojans wala Ku Corupt Register unakwenda utakavyo hakunawasiwasi njoo kaka
kwenyeUbuntu na kuna kitu kinautwa Zorin Os hiyo kitu mwisho wa yote angalia picha zake hapo chini.
Hi kitu haina mambo ya Kuingia Virus wala nini na ipo bure pasipo na malipo ukita kui download bonyeza hapa Zorin OS - Free
Mbona inawezekana kutumia softwares za windows wenye ubuntu!! au weye maujanja hayo huna???
kwa jinsi ubuntu ilivyonitenda sihitaji tena os nyingine.ni nzuri lakini dah kila kitu hewani.nimepewa software ya kuweza kuweka progarm bila kuwa hewani nayo inagoma.matatizo juu ya shida.cd na dvd hazisomi shida nyingine hiyo.ngoja nijifanye mjinga tu maana nishakua mjinga tayari kwa kujaribu vitu vipya
WINE software
acha uoga. ubuntu haijakosea wewe hukufuata maelekezo. kufanya setup ya os yeyote inachukua muda.yaaani nashukuru sana,ngoja nitaijaribu muda huu mkuu wangu.kweli kwa ubuntu imenifunsisha kuwa akili za kuambiwa..................
cha msing ni kuangalia unahtaj window kwamatumiz gan nyngne blah blah huwezikufananisha kifo na ucngz ubuntu haiwez mfkia winos kwa namna yeyote ile. labda u frii from virus tu
Mwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.
WINE software
Stop thinking in terms of Windows that is NOT ANOTHER WINDOWS. It is Linux! Once you get that things becomes simpler.mkuu nimejaribu ku downlod wine software,wakati nataka kuanza ku downlod nikakuta kuna wine 1.5 ambayo ndo new na 1.4 ya zamani nikichagua hii moja wapo inaniambia "this link needs to be openedwith application.send to:"hapo pamenishinda kujua ni application gani natakiwa kutumia.naomba msaada wako kwa mtu anaejua hiyo application
Stop thinking in terms of Windows that is NOT ANOTHER WINDOWS. It is Linux! Once you get that things becomes simpler.
Don't make Linux operate as if it is windows. It will never, because it is not windows!!
With that in your head don't think in Linux you must download setup.exe and run as admin....No! Open Ubuntu software Center, type software you want in the search box when it comes select it and click install....that simple!
Don't complicate things as if you are in windows!
Kujifunza yataka Muda. Hiyo software gani ambayo haipo? Anzisha thread mpya ila tu heading isiwe yamenikuta blah blah. Weka kitu intelligible kama;nimekuelewa mkuu ila hii software niliambiwa ni nzuri kama mtu unataka kuwekavprogam zako mwenyewe kama hutaki kutumiabza ubuntu.na hii nimeiweka ikanambia haipatikani kwenye ubuntu software center
Kujifunza yataka Muda. Hiyo software gani ambayo haipo? Anzisha thread mpya ila tu heading isiwe yamenikuta blah blah. Weka kitu intelligible kama;
How to Install software XYZ in Ubuntu
Watumiaji wa WINDOWS wana taabu sana kwa kweli. Tell them.Stop thinking in terms of Windows that is NOT ANOTHER WINDOWS. It is Linux! Once you get that things becomes simpler. Don't make Linux operate as if it is windows. It will never, because it is not windows!! With that in your head don't think in Linux you must download setup.exe and run as admin....No! Open Ubuntu software Center, type software you want in the search box when it comes select it and click install....that simple! Don't complicate things as if you are in windows!
Mwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.