Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Baada ya kupakua fomu kwa ajili ya kwenda kusainiwa na afisa wa RITA ingebidi fomu hiyo iletwe ili ipakiwe ikiwa imesainiwa si ndiyo!? Sasa afisa wa RITA ameamua kupunguzia watu usumbufu kwa kumaliza kila kitu mteja anapokwenda na fomu hiyo, kwanini huku kwangu status isibadilike na kuonesha kuwa fulani amepakia fomu, amepata cheti nk? Badala yake nikiingia kwenye mfumo nakuta imekomea pale pale kwenye pakia fomu iliyosainiwa. Ndiyo maana nasema wangeunganisha tu taarifa akipakia kule ofisini na kwangu isome
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.