FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Ahahaha tochi ile ni inasoma speed ya gar linalokuja kwa mbele tu kaka. Ushaliwa tyr
Waongo hao tochi ile inasoma speed kwa mbele tu kaka
Ingekua wanapima kwa upande wanyuma basi speed ingesoma zero, maana jinsi tochi yenyewe inavyofanya kazi ni ngumu sana kupima speed kwa upande wanyuma.
Trafki akikupiga tochi kile kifaa kinatoa frequency kubwa sana kuelekea kwenye gari lako, kwahiyo wewe unapoongeza speed unakua unazirudisha zile frequency upande wa trafki.... Yaani zinagonga kwenye gari lako nakurudi kwa trafki, kwahiyo kwajinsi utakavyopunguza speed/kuongeza ndivyo kile kifaa kitakavyosoma speed yako kulingana na zile freequency zinabounce vipi.
Sasa kama trafki atakupiga tochi kwanyuma mana yake speed itakua inapungua kwasabu wewe unazikimbia zile frequency haziwezi kurudi tena kwa trafki kwa kasi kubwa.
Kwahiyo trafki akikupiga tochi kwa nyuma kile kifaa kitasoma speed ndogo kama utakimbiza gari kwa kasi, na kitasoma speed kubwa kama utaendesha taratibu.
Kwa waliosoma PCM/PCB/PGM advance watakua wamenipata vizuri nazungumzia doppler effect.
snipa
dah!walikuwa wanahitaji hela ya supu hao then wakati mwingine hizo tochi ni mbovu.,nishawahi kufanya huo utafiti.
Kwa maana nyingine kitasoma negative speed(Kitu ambacho sijui kama kitawezekana)
Wacheni porojo, "speed gun"au "radar gun" inaweza kusoma speed yako hata kwa nyuma. Na sasa zipo aina mpya ambazo hutumia teknolojia ya "laser pulse" "LIDAR".
Soma zaidi: Radar gun - Wikipedia, the free encyclopedia