Naomba elimishwa juu ya tochi za trafic

Naomba elimishwa juu ya tochi za trafic

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Nawasalimu wadau, naomba kuuliza, juzi nilisimamishwa na trafic nikaambiwa nimeoverspeed kilometa 2 toka walipo na barabara ina kona na milima, nilipo wauliza wapi, jibu umepigwa touch kwa nyuma na niliokotoka hakuna trafic, nilipigwa butwaa, naomba wajuzi wanielimishe imekaaje hii?

Nawasilisha
 
unajua nilikubali kwakuwa niliambiwa speed ni 78 na mahali nilipo kuwa pia nanamba ya gari, ukweli niwauliza maswali waliambia nikamera mpya na zakisasa, mabasi yalikuwa mengi na gari nyingne zilikamatwa.
 
Pole sana na yaliyokukuta, walikulamba ngapi
 
Nawasalimu wadau, naomba kuuliza, juzi nilisimamishwa na trafic nikaambiwa nimeoverspeed kilometa 2 toka walipo na barabara ina kona na milima, nilipo wauliza wapi, jibu umepigwa touch kwa nyuma na niliokotoka hakuna trafic, nilipigwa butwaa, naomba wajuzi wanielimishe imekaaje hii?

Nawasilisha

Ingekua wanapima kwa upande wanyuma basi speed ingesoma zero, maana jinsi tochi yenyewe inavyofanya kazi ni ngumu sana kupima speed kwa upande wanyuma.

Trafki akikupiga tochi kile kifaa kinatoa frequency kubwa sana kuelekea kwenye gari lako, kwahiyo wewe unapoongeza speed unakua unazirudisha zile frequency upande wa trafki.... Yaani zinagonga kwenye gari lako nakurudi kwa trafki, kwahiyo kwajinsi utakavyopunguza speed/kuongeza ndivyo kile kifaa kitakavyosoma speed yako kulingana na zile freequency zinabounce vipi.

Sasa kama trafki atakupiga tochi kwanyuma mana yake speed itakua inapungua kwasabu wewe unazikimbia zile frequency haziwezi kurudi tena kwa trafki kwa kasi kubwa.
Kwahiyo trafki akikupiga tochi kwa nyuma kile kifaa kitasoma speed ndogo kama utakimbiza gari kwa kasi, na kitasoma speed kubwa kama utaendesha taratibu.

Kwa waliosoma PCM/PCB/PGM advance watakua wamenipata vizuri nazungumzia doppler effect.

snipa
 
Last edited by a moderator:
Hakikisha unafuata vibao vyote vya namba vilivyopo road pia ukiona shule tembea 30 makazi tembea 50 wala hautakabana nao kuwe na kibao cha namba hakuna we fuata hayo kwenye zebra simama
 
dah!walikuwa wanahitaji hela ya supu hao then wakati mwingine hizo tochi ni mbovu.,nishawahi kufanya huo utafiti.
 
speed lader zinatumia laser beam ambazo anazigonga katika gari yako kisha zinarudisha majibu mwendo wa gari lako kadiri unavyoongeza au kupunguza. Dawa yao ni moja tu ukiona kabla ajamulika tochi MWAGA MAJI KWENYE WIPERS. akigongesha laser beam itasomeka SPEED RADAR = 0. lakini wamekuwa wajanja wanafahamu kuna watu wanafanya hivyo kwa hiyo wanajificha halafu unajikuta tayari umeshakamatwa.
 
Ingekua wanapima kwa upande wanyuma basi speed ingesoma zero, maana jinsi tochi yenyewe inavyofanya kazi ni ngumu sana kupima speed kwa upande wanyuma.

Trafki akikupiga tochi kile kifaa kinatoa frequency kubwa sana kuelekea kwenye gari lako, kwahiyo wewe unapoongeza speed unakua unazirudisha zile frequency upande wa trafki.... Yaani zinagonga kwenye gari lako nakurudi kwa trafki, kwahiyo kwajinsi utakavyopunguza speed/kuongeza ndivyo kile kifaa kitakavyosoma speed yako kulingana na zile freequency zinabounce vipi.

Sasa kama trafki atakupiga tochi kwanyuma mana yake speed itakua inapungua kwasabu wewe unazikimbia zile frequency haziwezi kurudi tena kwa trafki kwa kasi kubwa.
Kwahiyo trafki akikupiga tochi kwa nyuma kile kifaa kitasoma speed ndogo kama utakimbiza gari kwa kasi, na kitasoma speed kubwa kama utaendesha taratibu.

Kwa waliosoma PCM/PCB/PGM advance watakua wamenipata vizuri nazungumzia doppler effect.

snipa

Ndio maana naipenda JF,kila siku nachimba madini mapya tu,asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu
 
aisee kuna tochi mpya zimeletwa jamaa wanajificha wanarekodi halafu wanatoa taarifa kwa trafic aliye kituo cha mbele huko uendako. wanasema madereva wamekuwa wanapeana taarifa ili kuwakwepa trafic police. hapo ulipokamatwa ingebidi wakwambie urudi mpaka kwa aliyekupiga tochi ili akuonyeshe na picha maana hizi tochi mpya zinapiga na picha za video. japo na njia hii sijui kama itasaidia sana.
sijaziona ila nilimuona kaimu kamanda mkuu wa traffic police akielezea utaratibu huu mpya kwenye TBC.
 
Doppler effect..

Ki ufupi ile tochi Ni Raddar
 
speed lader zinatumia laser beam ambazo anazigonga katika gari yako kisha zinarudisha majibu mwendo wa gari lako kadiri unavyoongeza au kupunguza. Dawa yao ni moja tu ukiona kabla ajamulika tochi MWAGA MAJI KWENYE WIPERS. akigongesha laser beam itasomeka SPEED RADAR = 0. lakini wamekuwa wajanja wanafahamu kuna watu wanafanya hivyo kwa hiyo wanajificha halafu unajikuta tayari umeshakamatwa.

nimeipenda hiyo mkuu
 
aisee kuna tochi mpya zimeletwa jamaa wanajificha wanarekodi halafu wanatoa taarifa kwa trafic aliye kituo cha mbele huko uendako. wanasema madereva wamekuwa wanapeana taarifa ili kuwakwepa trafic police. hapo ulipokamatwa ingebidi wakwambie urudi mpaka kwa aliyekupiga tochi ili akuonyeshe na picha maana hizi tochi mpya zinapiga na picha za video. japo na njia hii sijui kama itasaidia sana.
sijaziona ila nilimuona kaimu kamanda mkuu wa traffic police akielezea utaratibu huu mpya kwenye TBC.

nimekuelewa mkuu, nadhani ndivo walivo nieanyia.
 
trafic nilipo muhoji alisema kamera ile ni digital, pia nilifikiria kunakamera zimefichwa porini juu ya miti, kwaiyo zinatoa taarifa kituo kingine.
 
sometimes wanakuwa wahuni unasimamishwa porini hakuna kibao cha 50 wala nn....wakiona hujui wiz wao wanakutoa upepo wakiona unajua wanakuambia toa kiwingu hapa
 
Ingekua wanapima kwa upande wanyuma basi speed ingesoma zero, maana jinsi tochi yenyewe inavyofanya kazi ni ngumu sana kupima speed kwa upande wanyuma.

Trafki akikupiga tochi kile kifaa kinatoa frequency kubwa sana kuelekea kwenye gari lako, kwahiyo wewe unapoongeza speed unakua unazirudisha zile frequency upande wa trafki.... Yaani zinagonga kwenye gari lako nakurudi kwa trafki, kwahiyo kwajinsi utakavyopunguza speed/kuongeza ndivyo kile kifaa kitakavyosoma speed yako kulingana na zile freequency zinabounce vipi.

Sasa kama trafki atakupiga tochi kwanyuma mana yake speed itakua inapungua kwasabu wewe unazikimbia zile frequency haziwezi kurudi tena kwa trafki kwa kasi kubwa.
Kwahiyo trafki akikupiga tochi kwa nyuma kile kifaa kitasoma speed ndogo kama utakimbiza gari kwa kasi, na kitasoma speed kubwa kama utaendesha taratibu.

Kwa waliosoma PCM/PCB/PGM advance watakua wamenipata vizuri nazungumzia doppler effect.

snipa

Kwa maana nyingine kitasoma negative speed(Kitu ambacho sijui kama kitawezekana)
 
Last edited by a moderator:
Wacheni porojo, "speed gun"au "radar gun" inaweza kusoma speed yako hata kwa nyuma. Na sasa zipo aina mpya ambazo hutumia teknolojia ya "laser pulse" "LIDAR".

Soma zaidi: Radar gun - Wikipedia, the free encyclopedia

Wanatumia reverse speed, maana yake kama speed itakuwa inashuka kwa kasi italeta tafsiri yakuwa gari linakimbia sana.
Na kama itashuka taratibu maana yake gari itakua inatembea taratibu, nimeelezea pale juu, utakua umeona kama una macho.

Hizo za Laser pulse Tz sidhani kama umewahi kuziona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom