Usikurupuke! Fanya hivi:Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.
Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.
Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Nchi ulizo taja sikutarajia kabisa. Yaani ukajilipue rwanda? Huko nako kuna nini cha maana zaidi ya hapa TZ? Sasa hapo napo panahitaji connection? Sehemu ya kuvuka na gari usingekuja kuomba connection humu. Nenda tu mikoa jirani tumia hata njia za miguu kuvuka. Cha msingi uwe na kianzio
Hao vijana wanastahili kuchapwa bakora za makalioni mpaka yapasuke makalioPengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.
Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.
Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.
Kila jema mzee baba katika utafutaji.
Hao vijana wanastahili kuchapwa bakora za makalioni mpaka yapasuke makalio
Watanzania wengi ni wapumbavu wapumbavuNdo akili za Watanzania wengi, niliwashangaa sana lakini bado niliwaelewa.
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.
Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.
Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.
Kila jema mzee baba katika utafutaji.
Nimekuunga mkono saf sana. Tanzania ni kuzimu. Ila hzo nch umetaja sikushauri. Imgia uarabuni kisha tageti kuingia dunia ya 1. Bora uniambie uende Namibia au botswana au mauritius au visiwa vya mayotteWakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.
Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.
Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Vijana wa Kenya na Malawi wanajiandikisha kwenda Israeli kwenye kilimo na mshahara mnono, wewe unataka kwenda huko wakati wenyenchi wamekimbia! Nenda ubalozi wa Israeli kajiandikishe, changamka.Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.
Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.
Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Sisi choka zaidi ya mbaya, mwarabu, mchina na mhindi wanakuja hapa wanatajirika huku wakituajiri sisi.Unaweza kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi...
Hao Msumbiji ni maskini choka mbaya.
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.
Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.
Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.
Kila jema mzee baba katika utafutaji.
Nimekuunga mkono saf sana. Tanzania ni kuzimu. Ila hzo nch umetaja sikushauri. Imgia uarabuni kisha tageti kuingia dunia ya 1. Bora uniambie uende Namibia au botswana au mauritius au visiwa vya mayotte
Maisha huwa ni popote mkuu, hizo nchi ulizotaja unaweza kwenda hapo ukaja kufanikiwa katika maisha yako, ijapokuwa watu watakukatisha tamaa kwakukumbia ni bora ubaki nyumbani, wewe sikiliza moyo wako vile unavyotaka
Mipaka ya mafanikio ni akili yako ndio inajiwekea mwenyewe, wewe toka hapo nenda popote dunia, kila mahali ni salama pakuishi kama ukiamua kuishi kiusalama
South Africa wabongo walioko humu wanasema sio salama kuishi na kibiashara, waulize je wanafanya shuhuli za kiusalama na kihalali? Hili jibu hawawezi kukupa..
"Mummy need house baby need shoes"