greater G
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 308
- 218
Aisee wana jamvi,habari zenu za wk end? Bila shaka Wk end hii inakwenda vzr.
Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu wakui nina demu niliyehudumu nae miaka mitatu hivi tukipeana mautamu.
Mwanamke huyu kwa sasa ambae ki ukweli nikikutana nae au akipita mzigoni kwangu maombi yake makubwa ni " naomba buku" nikanunue mara hiki mara kile.
Pamoja na jitihada zangu za kumtoa nje ya mstari kila aniombapo pesa hizo bado ananiandama huku ukizingatia amemvuta bwana wake nyumbani kwake na wanaishi pamoja.
Au ndio kusema vyuma vimekaza?