RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,474
- 132,004
Buku huwa naombwa na mateja, sometimes nawapa sometimes nawapotezea.ukiombwa buku unatoa?
Gf au mchepuko kuniomba buku?! Sijswahi kutoka na mtu wa aina hio.
Ushauri:jiweke standard fulani hata ukiwa na shida ya 1000 omba 10,000....