wengi tunajua kuwa manaeno mengi ya kiswahili yametokana na lugha ya kiarabu kwa mfano neno BINADAMU limetokana na neno BIN-ADAM. ikiwa na maana ya mtoto wa adam wa kiume... sasa swali langu ni hivi kwa nini na wanawake nao wanaitwa BIN ADAMU?? kwa nini wasiitwe BINT ADAMU??