Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
wasiwasi ndio akili kaka,wakipiga mabilioni dada lazima atanifuata yeye nyumbani.Mbona unaota mambo ya shari tu?
Kwanini usihisi utakuta wamepiga billions, wakakupa vijisenti uzingue mtaani kwako?
sio kicheche.huyo dada yako ni kicheche nini?
sijawahi kuwatembelea na wala sijui dada yangu anamuhendo vipi mwanaume kwa kuwa sina sababu ya kunifanya nilijue hilo kwa kuwa sisi ni wastaarabu.Au dada ako analia kwa mikunjo mpaka unashindwa kulala jamaa anavyosugua
sio utani huu ni uoga nilio nao mimi.Jamani utani gani huu?
nikilog in huwa nashindwa kuandika.Washawasha mbona una log off tu lakini hau log in?
kha! uchi mbona hata kuku anao mie hilo wala siliogopi.Nilifikiri unaogopa kuwakuta wako uchi
umeona eh!kaaazi kweli kweli