Naogopa kufanya mapenzi

Naogopa kufanya mapenzi

Bujibuji naweza kucheka hadi nichanganyikiwe,
kweli na ujanja wako hali ndiyo hii
na unasema eti mwaJ analalamika, kumbe unaona aibu ku do
mtafute Madame B ana tatizo kama lako mkayamalize
mje na majibu.
Mi ndio maana sikupendagi hivyo hivyo Mamndenyi, badala ya kunuhurumia wewe unataka kuanza kunicheka???
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa! Bujibuji, inanibidi kwa niaba ya wamama na wadada wa MMU nije nikukague ili niliete majibu hapa Jamvini, Loh! Umenifanya nistuke kidogo, na hao watoto wanafanana na nani?
 
Sio lazima upige shoo...

Mwachie huyo aliye baba wa hao watoto wanne akirudi aendeleze kukamua hyo Papucchi ya wife jina wako
 
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.

Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
😀😀😀
 
Back
Top Bottom