Naogopa kuendesha gari

LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,040
Likes
3,914
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,040 3,914 280
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,336
Likes
122
Points
160
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,336 122 160
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
wonders will never cease!

BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,611
Likes
6,127
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,611 6,127 280
mbona hivyo ni safi sana, maana mara nyingi wakati unapishana na gari kama lorry huwezi jua kama kuna basi kama Super Feo,Dar express ita overtake pembeni yake.hivyo wewe una kua on safe side kuingia porini kwa usalama wako
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,522
Likes
10,520
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,522 10,520 280

Sijui udereva wa wapi huu wa kujiandaa kuingia porini.

Kumbe kwenu Songea eeh, asante kwa taarifa. Summry vipi, imekufa?
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,522
Likes
10,520
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,522 10,520 280
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
Mimi ushauri wangu ni USIENDESHE GARI. Confidence ndio msingi wa uendeshaji salama. Kukumbwa na uoga ni dalili kwamba huna hakika na unachofanya kwamba ni sahihi au lah. Maamuzi ya mtu mwenye hofu barabarani ni janga.

Si kila mtu anaweza kuwa dereva kwa hivyo kuliko kujilazimisha kwa kuwa kuna watu wanakucheka, bora uache ili uwe salama na usihatarishe maisha ya watu wengine pia.
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,771
Likes
5,301
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,771 5,301 280
Mimi ushauri wangu ni USIENDESHE GARI. Confidence ndio msingi wa uendeshaji salama. Kukumbwa na uoga ni dalili kwamba huna hakika na unachofanya kwamba ni sahihi au lah. Maamuzi ya mtu mwenye hofu barabarani ni janga.

Si kila mtu anaweza kuwa dereva kwa hivyo kuliko kujilazimisha kwa kuwa kuna watu wanakucheka, bora uache ili uwe salama na usihatarishe maisha ya watu wengine pia.
Mtoa mada chukua huu ushauri..
 
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
3,996
Likes
2,146
Points
280
Age
34
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
3,996 2,146 280
Ndo shida ya kujifunzia nyumbani/ uchochoroni. ...km ungejifunza driving school ungekua na bonge la confidence. ..na panawafaa waoga km nyie
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,002
Likes
6,456
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,002 6,456 280
Kwanza shinda woga wako...

Pia anza barabara ndogo za uswazini

Kisha piga moyo konde ingia mjini
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,902
Likes
4,081
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,902 4,081 280
Niuzie Gari Yako...
Mi naweza kuendesha vizuri,
hahahaha just kid'n bana
 
C

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
603
Likes
75
Points
45
C

chief72

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
603 75 45
ili kupata uzoefu endesha ukiwa na mtu ambae ni mzoefu pembeni, yeye atakuwa anaku guide vizuri....hakikisha unfanya mazoezi ya ku overtake hasa magari makubwa, utaondoka woga wote kiongoz.....njia pekee ya kujifunza kuogelea ni kujitosa kwenye maji
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,611
Likes
6,127
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,611 6,127 280
Sijui udereva wa wapi huu wa kujiandaa kuingia porini.

Kumbe kwenu Songea eeh, asante kwa taarifa. Summry vipi, imekufa?
mkuu uso kwa uso si bora uingie porini!kwetu mbinga na Super feo leo wamezindua safari ya moja kwa moja (Dar-Mbinga) unakaa kwenye bus mpaka unachanganyikiwa
 
Rural Swagga

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
1,411
Likes
141
Points
160
Rural Swagga

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
1,411 141 160
hahahahahaha!! Nimefurahi sana nakumbuka Nilikua naelekea kaskazini(migombani) na My young bro kutoka Dar ...dogo akawa anangangania sana ku-drive.nikamwambia uendeshaji wa huku unahitajika uwe nunda akabisha sana baada ya segera nikampatia mashine ,,kwani alichukua hata dk10 alipaki pembeni akasema bro ukitaka tufike leo hii njoo drive ila kama unataka tufike kesho naweza kuendelea.....Na ni direva mzuri tu kwa Dar.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
24,346
Likes
7,622
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
24,346 7,622 280
Jiamini
 
N

nummy

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
587
Likes
6
Points
0
N

nummy

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
587 6 0
fuata sheria saaaana, usiende mwendo mkali, usipatwe na wasiwasi unapopigiwa honi, usigeuke ukipigiwa honi, utazoea si muda mrefu. unaishi wapi?
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Likes
370
Points
180
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 370 180
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
Umejifunzia wapi kuendesha gari?
 
M

MAWERE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
453
Likes
4
Points
35
M

MAWERE

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
453 4 35
nipm then nikupe tips week tu utatishaje?
 
D

Dina

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
2,970
Likes
323
Points
180
D

Dina

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
2,970 323 180
Mimi ushauri wangu ni USIENDESHE GARI. Confidence ndio msingi wa uendeshaji salama. Kukumbwa na uoga ni dalili kwamba huna hakika na unachofanya kwamba ni sahihi au lah. Maamuzi ya mtu mwenye hofu barabarani ni janga.

Si kila mtu anaweza kuwa dereva kwa hivyo kuliko kujilazimisha kwa kuwa kuna watu wanakucheka, bora uache ili uwe salama na usihatarishe maisha ya watu wengine pia.
Lakini si ndio hataendesha kamwe? Mimi huwa nina imani kuwa ujasiri unapatikana barabarani, au nakosea?

Ila kama mwaka mzima hali ni hiyo hiyo, inawezekana ushauri wako ukawa bora zaidi......ampatie mtu ajira tu aendeshwe.
 
manuu

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
4,072
Likes
9,753
Points
280
manuu

manuu

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
4,072 9,753 280
Mwanzo mgumu na kauli hii huwa haipingiki kamwe, so usihofu.
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,415
Likes
264
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,415 264 0
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
Mkuu, kama umeendesha gari mwaka mzima na bado hauna confidence barabarani ni bora ukaacha kuendesha, TAFUTA DEREVA umwajiri!
 
Forum statistics

Threads 1,273,111
Members 490,296
Posts 30,471,854