Naogopa kuchunwa

Shungu,pole sana,maana unasikilizia machungu ya kuchunwa,hata wanaume pia huwa tunaumia sometymz,any way just tell him in a polite way,atakuelewa tu,nadhan ni ulimbuken ndo unamsumbua ili kila mtu amuone ana-drive
 
Shungu,pole sana,maana unasikilizia machungu ya kuchunwa,hata wanaume pia huwa tunaumia sometymz,any way just tell him in a polite way,atakuelewa tu,nadhan ni ulimbuken ndo unamsumbua ili kila mtu amuone ana-drive
mh mi huwa najua wanaume wana moyo wa kutoa kumbe nao huumia simply because huwa hawaombwi washatoa, anyway kila mmoja anavyoona yeye, nashukuru kwa ushauri wako mzuri hata mi naona kabisa anavyofanya ulimbukeni (usharobaro) mbele yangu hutaka kupitia marafiki zake kila mahali mradi wamuone.
 
Sawa shungu,maana ukisema umchakachue waweza kutana na kituko kingine ambacho ni bora ya huyo afande,UNLESS awe hana mapenz na wewe,lakin km umeona weakness ya usharobaro,its not bad
 
Mvumilie tu kama kweli unampenda and he is a huszbd to be...., maana wengine huwa wanatafuta vijisababu then uonekane wewe mbaya, one day jaribu kumuomba pesa ya mafuta usikie atacomment vipi. Pole sana.
 
Angalia lakini, usikute anatumia gari yako kutafutia dogo dogo!!
 
Mvumilie tu kama kweli unampenda and he is a huszbd to be...., maana wengine huwa wanatafuta vijisababu then uonekane wewe mbaya, one day jaribu kumuomba pesa ya mafuta usikie atacomment vipi. Pole sana.

ushauri wako mzuri pia, nitaufanyia kazi asante.
 
Huyo si mwanafunzi? Mwanafunzi anatakiwa kupewa pesa sio kutoa pesa. Sijui kwa nini nafikiria hivyo, lkn nadhani inabidi uwe makini usijikaze kubaki na mtu kwa sababu ya ndoa, utakuja kujuta, mi huwa naamini ndoa ipo wakati ukifika, lkn kuvumilia maumivu ya moyo kisa natamani ndoa hapana. Hasa ukizingatia huyo ni mwanaume, na atapenda aonekane kichwa, inaweza ikawa ngumu kwako kuhoji baadhi ya mambo au ukiuliza uonekane una dharau.
 
Umekutana na Mario Polisi wewe endelea kumuendekeza wakati wewe ndio unaumia hata kama hana gari kwanini asichangie mafuta kwenye hizo trip anazoenda yeye kama unampenda maana yake utamrekebisha hiyo tabia yake
 
Habari zenu wana Jamii forums, kwanza niwatakie Heri ya pasaka. Mimi ni msichana nina elimu yangu nzuri ya masters na kazi nzuri pia ila sijaolewa. Nimetokea kukutana na kijana ambaye ni polisi na anasoma kujiendeleza kielimu yani ngazi ya degree. Toka nimekuwa nae kuna tabia imekuwa inanikera ila najitahidi kumvumilia kutafuta ndoa. Mimi nina gari yeye hana hivyo tunapokutana anataka aendeshe yeye gari na anaanzisha safari zake nyingi na hela ya mafuta haweki anatumia mafuta niliyoweka ambayo yako ndani ya bajeti na mnavyojua bei ya mafuta inapanda kila siku. Naogopa kumwambia ataniona namnyanyasa sababu yeye hana gari. Naombeni ushauri wenu nimchakachue nitafute mwingine Au nimweleze ukweli na navyoboreka au nimvumilie wakati naumia naona kama nachunwa.

Mdogo wangu vumilia tu ..asikudanganye mtu....hiyo ni typical tabia ya askari.....anapenda aonekane na wenzake [mapoti wenzake],....kuwa yuko na binti msomi mwenye gari ...uzuri wa askari ni watu wa kukolea sana,lakini haina maana hawapendi wasichana wengine...dunia nzima askari wa silka za kupenda wasichana ,pombe na mitulinga[vurugu]..

Kinachonitia moyo kwa upande wako ni kuwa huyo mumeo mtarajiwa ni msomi ...na kwenye uaskari usomi na ujasiri ni deal ...ukiweza kumuhimiza aendelee kusoma na kuwa jasiri ..basi miaka mitano ijayo atakuwa kwenye position nzuri kazini.....atakuwa na gari nzuri ,kipato kizuri na kwa kuwa hawajui kupangilia pesa zao ..utamsaidia kwenye hilo nadhani mtakuwa pia na makazi yenye heshima...

Muulize Mungu pasaka hii kwenye maombi .....yako take time mwenyewe usiku peke yako..utapata sauti ya roho kuhusu muelekeo wa maisha......
 
Hapo dada unamkosea mwenzako kama unampenda kiasi cha kusema ni husband to be inakuwaje usikie uchungu kwenye kitu kama hicho? mweke chini umuelezee unavyojisikia kwamba unapenda mshee cost hasa kama hizo za mafuta, nafikiri atakuelewa tu, na kama kipato chake ni kidogo mwache amalize shule uone, unless humpendi unataka ndoa tu. usijiumize sababu unataka kuolewa tu, humu ndoani nako kwa moto tu, usikimbilie kama hauko tayari
 
Mie navyoona ni afadhali ungemweleza ukweli kuliko kukaa ukiumia mwenyewe! unajua pengine yeye anajua kuwa una pesa ya kutosha kwa hiyo hakuna shida. Katika mapenzi nivizuri kuwa wakweli! Ukimweleza basi nadhani atakuelewa tu kwa sababu anakupenda.
 
Yeye si anakupatia ile kitu! Nayo ni kazi kubwa dada yangu. Kama anapenda kuendesha gari mwachie lakini nae lazima alipe pale kunako 6x6 kwa kupitia kona zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom