Naogopa kifo

Wanasema tu kuwa ombeni nanyi mtapewa ila sio kweli. Hivyo haya maombi yako yatasubiri sanaaa
 
Barikiwa sana Samaritan
 
Kuna wakati utakiomba siku za maisha yetu ni miaka 70 Kama tuna nguvu ni 80
Wewe omba kifo kizuri
 
Yamkini nimeshaamini hakika Mungu ataniwezesha! ntaishi tu hakuna kinachoshindikana mbele za Mungu. hakika sitakufa ntaishi hata peponi.
Nakuogopea usije anza kuokota makopo
 
Religion is just a feeling good therapy

Ukitaka faraja hata kama ni ya uongo,utapata

Kifo ndio mwisho wa mwanadamu

Hadithi za Mbingu na Motoni ni kujifariji
Ok ngoja siku itapokunata....ndo utapojua kama ni therapy ama n8 hadithi....
 
Pole ndugu kwa uwoga huo....jitahidi kuushinda kumbuka kuwa hapa upo vitani ni lazima upambane death is must...and its very painfully...tena super pain..na kuoza kuoza ni kweli, kunuka ni kweli... Mengine pia ni kweli...kama kuogopwa nk yapo..

Cha kufanya kwasasa Pigania moments ulionayo katika uwepo wako ili hio siku ukivuta iwe memories kwa walimwengu kuwa ulifanya kitu duniani, kama ugunduzi utakao rahisha maisha, au maoni yatakayo fanya walimwengu wa starehe na wawe na amani na salama..panda miti mingi ya matunda... Tunza mazingira... Nk..

Kujifungia ndani sio solutions
 
MIMI NILIWAHI KUPIGWA NUSU KAPUTI KWA AJILI YA USINGIZI.SIKUHISI LOLOTE.HAKIKA KAMA KIFO NI HIVYO WALA HAKUNA SHIDA YOYOTE MAANA NITAKUWA SIPO!!!
 
wala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi
hii nayo balaaa
 
wala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi
balaaa
 
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi,naye hujaa taabu,AYUBU 14:1
 
Hata Mimi naogopa sana kufukiwa na hicho kifusi nahisi kama nitakuwa nahisi vile. Natamani hata nikifa wanitupe porini huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…