Naogopa kifo

Tatizo lako siyo kifo... Tatizo lako ni unaogopa kufukiwa na kifusi... wala usijali.. siku ya kifo chako wala hata hutojua kama umeshakufa...

Yamkini nimeshaamini hakika Mungu ataniwezesha! ntaishi tu hakuna kinachoshindikana mbele za Mungu. hakika sitakufa ntaishi hata peponi.
 
Utajuaje kama maombi yako yamekubaliwa?
 
Hii inaitwa kujutia....lazima kuna dhambi umetenda.....


Najua baada ya siku 4 tuu utasahau kila kitu.....ila jaribu kuwa na hofu ya Mungu wala huyaogopa tena....


Soma zaburi 23...

acha kujidanganya, Mimi nimeamini! na ukishakuwa naimani na ukaamini nguvu za Mungu hakika hutakufa! hata kama ntakufa ntaishi kiimani. sina kosa lolote.
 
Hii inaitwa kujutia....lazima kuna dhambi umetenda.....


Najua baada ya siku 4 tuu utasahau kila kitu.....ila jaribu kuwa na hofu ya Mungu wala huyaogopa tena....


Soma zaburi 23...
 
Near to death experience

shindeni kifo ndugu zangu! Leo hii nawashauri lakini mnanikebehi. asiyejua kifo wacha achungulie kaburi. ndugu yangu amini hakika hata ukifa utaishi milele daima.
 
Mkuu kukaa mda mrefu bila kula ni kifo unajitaftia
 
ha ha ha unaogopa jambo la kawaida kabisa,mwambie mungu wako akuondolee uoga na sio aondoe kifo population itakuwa kubwa...
alaf kale ww maswala ya kufunga utajsababishia madonda ya tumbo mwishowe ufe..!!
 
shindeni kifo ndugu zangu! Leo hii nawashauri lakini mnanikebehi. asiyejua kifo wacha achungulie kaburi. ndugu yangu amini hakika hata ukifa utaishi milele daima.
Kumbe kuna kifo cha mwili na cha roho..
... Sasa we unachokiogopa ni kipi??
 
Kumbe kuna kifo cha mwili na cha roho..
... Sasa we unachokiogopa ni kipi??
kumbe shetani bado kashikilia watu wengi. jikomboe ndugu yangu, shinda kifo cha mwili ili uishi peponi kwa amani. Mimi sitakufa katu. ntashinda tu ili mradi nimeshaamini. kazi kubwa in kuamini basis.
 
Chunga sana unapofungua kinywa na kuongea mambo kama haya, mdomo huwa unaumba rafiki, umekata tamaa, kuna jambo linakusumbua nafikiri, jichanganye na watu usikae peke yako.
 
Usimuombe Mungu,maana hayupo!

Na usiogope kifo,maana ukifa leo hicho kitakuwa kifo chako cha pili

Hakuna maisha baada ya kifo

Hali itakayokukuta baada ya kifo chako,ndio hali hiyo hiyo uliyokuwa nayo kabla hujazaliwa

Kifo ndio mwisho wa mchezo.Lakini kama unataka kujifariji tu na huna moyo mgumu wa kukikabili kifo

Buni story yoyote,kisha iamini

Mfano,"Nikifa nitapokelewa na st.peter,

Kisha atanisindikiza mbinguni,nitamuona Bwana wangu Yesu."

Ni hivyo
 
Mtazamo mzuri kwa wasioamini uwepo wa Mungu
 
mwogope Mungu shetani kumbe ashatawala watu wengi e Mungu tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…