Naogopa jibu nitakalopewa

hakupendi huyo ndio maana kakuweka pending! na hataki kukuvunja moyo!wakati mwengine ukikataliwa sio mpaka uambiwe NO!
 
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu

Mweee..naombaaa unimalizie nimependa
 
sijawahi kataa mwanamke ungeniambia mimi ningekujibu on the spot.
 
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu

hahaaaaa naona kabisa ulivokula vitasa!
 
Hongera kwa ujasiri wako wa kutokuficha hisia zako cz ungeteseka zaid moyoni mwako.
 
u real have the guts,were u drunk or sober?
otherwise atakuwa kakudharau sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…