Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
hapo ndipo nakupendeaga tatizo we hujui tu unaniumiza au hujui ? au unafanya makusudi
Ayiiiii wewe........jamani........
hapo ndipo nakupendeaga tatizo we hujui tu unaniumiza au hujui ? au unafanya makusudi
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu
Ayiiiii wewe........jamani........
Mweee..naombaaa unimalizie nimependa
nitumie namba yako ya whatsApp nikutumie picha ya kilichoendelea
Hahaha..sina wosap
haya email yako uliyotumia kufungulia jamiiforums
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu
Ngoja nikakupe huko chemba...hapa hapafai
hahaaaaa naona kabisa ulivokula vitasa!