kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu
ulikosea wenzako hawasemagi live...bali matendo huongea zaidi ya maneno......
Kwakwel yaani akikupotezea utaumia sana
hongera kwa uamuzi huo na pia usichoke kukumbushia jibu
aaah yaani aanze kukumbushia vip jibu langu:A S wink:?
Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.
Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.
Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
Tatizo yeye ni Chiriku, na Chiriku huwa anasema na kufanya yote anayoyasikia na kujifunza hata kupitia hapa JF!ulikosea wenzako hawasemagi live...bali matendo huongea zaidi ya maneno......