Hahahaaaa...sipati picha ulivyokuwa unampa mtongozo...aling'ata ng'ata vidole au?
Watu na ujasiri wenu Wallahi....
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu
Katika vitu siwezi kufanya basi ni kumwambia mwanaume kwamba nampenda lol
Bahari yote hii asiponasa jodari.......atanasa chengu........inahusu.......
ninong'oneze sitasema
Pole weee
Atakujibu????
Kijana hasa!
Lazima atajibiwa tu ......!!
Hahahahah......... kwekwekweee .... mambo ya girlz bwn hayooo hahahahah .... Mecheka sana waego
Usichekee...Ya mwenzio sikia omba yasikupate....!
Kim nana c kwmb namcheka dada.... m nacheka kung'ata vidole kwa wakaka... hahaha