Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.
Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.
Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
kos kubwa kukubali kusubiri
Very big mistake hakyamama..........
Nahisi litakuwa Bwa bwa hilo, au anamatatizo yanayosababisha kuwakwepa mabinti. Binafsi nikitongozwa na mwanamke kamwe siwezi kukataa hata awe mbaya au kanizidi sana umri.
Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.
Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.
Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
Acha matusi kijana! si ameambiwa asubiri, tatizo ni nini? kuna watu hawapendi temple relationship hivyo labda kijana ameona ni vizuri amchore kwanza au ndio namma ya kumpotezea.
Wewe kama unachekelea kutongozwa na mwanamke yoyote basi hata shangazi yako unaweza kumkubalia.