Naogopa jibu nitakalopewa

Naogopa jibu nitakalopewa

Chiriku

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
47
Reaction score
8
Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.

Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.

Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
 
una mda gani kwanza tangu umwambie? mana hata ukienda kupima hospitali wapewa majibu siku hyo hyo..... yani unajichoresha dada angu, bora ucngemwambia ukamfanyia tu vtendo ambavyo angeona kwamba wampenda. then ungeona akuelew basi ungeendelea na yako
 
atakukula halafu biashara itaishia hapo. na wewe vile ume fall nguvu ya kusema no huna. hivyo subiria next step ya kuliwa.
 
Huyo hakupendi anakuchora tu. Mlazimishe akujibu fasta
 
Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.

Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.

Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?

nataka nijue tu, sorry......

ana vijisenti nini mpaka umethubutu kumwambia hivo?
 
Nahisi litakuwa Bwa bwa hilo, au anamatatizo yanayosababisha kuwakwepa mabinti. Binafsi nikitongozwa na mwanamke kamwe siwezi kukataa hata awe mbaya au kanizidi sana umri.
 
Njoo kwangu nichec naweza kupiga bao tano kwa siku bila kunywa mchuzi wa pweza
 
Very big mistake hakyamama..........

kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu
 
Nahisi litakuwa Bwa bwa hilo, au anamatatizo yanayosababisha kuwakwepa mabinti. Binafsi nikitongozwa na mwanamke kamwe siwezi kukataa hata awe mbaya au kanizidi sana umri.

Acha matusi kijana! si ameambiwa asubiri, tatizo ni nini? kuna watu hawapendi temple relationship hivyo labda kijana ameona ni vizuri amchore kwanza au ndio namma ya kumpotezea.
Wewe kama unachekelea kutongozwa na mwanamke yoyote basi hata shangazi yako unaweza kumkubalia.
 
Kama ni mwanaume rijali, usitegemee akakukataa, sababu hata ka akupendi, atakuchakachua tu afu atasepa.
 
huyo nae anakuambia usubiri kwani yeye ni mwanamke...

Mwambie akujibu...akikuambia usubiri atakuwa hakupendi atapita then atakubwaga...

Au na wewe mpotezeee kama vipi usimpende tena

Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia.

Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu.

Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
 
ulikosea wenzako hawasemagi live...bali matendo huongea zaidi ya maneno......
 
Acha matusi kijana! si ameambiwa asubiri, tatizo ni nini? kuna watu hawapendi temple relationship hivyo labda kijana ameona ni vizuri amchore kwanza au ndio namma ya kumpotezea.
Wewe kama unachekelea kutongozwa na mwanamke yoyote basi hata shangazi yako unaweza kumkubalia.

hizo swaga za mwaka 47, "nitakujibu" kama unaomba kazi? Binafsi hata nikimtongoza binti, akiniambia tu "nitakujibu" nampotezea.
Yeah, shangazi nitamkubalia kama atanitongoza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom